Exodus 18:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakawa wanaamua matatizo ya watu kila wakati. Matatizo magumu walimletea Mose, lakini yale madogomadogo waliyatatua wao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Musa, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakawaamua watu sikuzote; mashauri magumu wakamletea Musa, lakini kila neno dogo wakaliamua wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakawa wanaamua matatizo ya watu kila wakati. Matatizo magumu walimletea Mose, lakini yale madogomadogo waliyatatua wao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Mose, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Musa, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakawaamua watu siku zote; mashauri magumu wakamletea Musa, lakini kila neno dogo wakaliamua wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakawa wanaamua matatizo ya watu kila wakati. Matatizo magumu walimletea Mose, lakini yale madogomadogo waliyatatua wao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wawaamue watu siku zote, lakini mashauri magumu wayalete kwake yeye Mose, lakini mashauri madogo wayakate wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakawaamua watu sikuzote; mashauri magumu wakamletea Musa, lakini kila neno dogo wakaliamua wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakakuwa wanaamua matatizo ya watu kila wakati. Matatizo magumu walimuletea Musa, lakini yale madogomadogo waliyatatua wao wenyewe.