Exodus 18:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kufanya hivyo, Mose na mkwewe wakaagana naye Yethro akarudi nchini kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akaagana na mkwewe; naye akaenda zake, mpaka nchi yake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kufanya hivyo, Mose na mkwewe wakaagana naye Yethro akarudi nchini kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi katika nchi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akaagana na Yethro baba mkwe wake, naye akarudi kwa nchi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akaagana na mkwewe; naye akaenda zake, mpaka nchi yake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kufanya hivyo, Mose na mkwewe wakaagana naye Yethro akarudi nchini kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akamsindikiza mkwewe, akaenda zake katika nchi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akaagana na mkwewe; naye akaenda zake, mpaka nchi yake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kufanya hivyo, Musa na baba mukwe wake wakaagana, naye Yetro akarudi katika inchi yake.