Exodus 18:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na watoto wawili wa Mose. Mtoto wa kwanza aliitwa Gershomu. Mose alimpa jina hili kwa vile alisema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Musa alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
pamoja na wanawe wawili; katika hao, jina la mmoja ni Gershomu, maana alisema, Mimi nimekuwa mgeni katika nchi ya ugenini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na watoto wawili wa Mose. Mtoto wa kwanza aliitwa Gershomu. Mose alimpa jina hili kwa vile alisema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershoni, kwa kuwa Mose alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Musa alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
pamoja na wanawe wawili; katika hao, jina la mmoja ni Gershomu, maana alisema, Mimi nimekuwa mgeni katika nchi za kigeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na watoto wawili wa Mose. Mtoto wa kwanza aliitwa Gershomu. Mose alimpa jina hili kwa vile alisema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na wanawe wawili, mmoja jina lake Gersomu (Mgeni wa Huku), kwani alisema: Mimi nimekuwa mgeni katika nchi isiyo ya kwetu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
pamoja na wanawe wawili; katika hao, jina la mmoja ni Gershomu, maana alisema, Mimi nimekuwa mgeni katika nchi ya ugenini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na watoto wawili wa Musa. Mutoto wa kwanza aliitwa Gersomi. Musa alimupa jina hili kwa vile alisema: “Nimekimbilia katika inchi ya kigeni.”