Exodus 18:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alipoambiwa kuwa baba mkwe wake pamoja na mkewe na wanawe wawili wanakuja,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yethro alikuwa ametuma ujumbe kwake Musa, kusema, “Mimi Yethro baba mkwe wako ninakuja kwako pamoja na mke wako na wanao wawili.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akamwambia Musa, Mimi Yethro mkweo nimekuja kwako, na mkeo, na wanawe wawili pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alipoambiwa kuwa baba mkwe wake pamoja na mkewe na wanawe wawili wanakuja,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yethro alikuwa ametuma ujumbe kwake kusema, “Mimi Yethro baba mkwe wako ninakuja kwako pamoja na mke wako na wanao wawili.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yethro alikuwa ametuma ujumbe kwake Musa, kusema, “Mimi Yethro baba mkwe wako ninakuja kwako pamoja na mke wako na wanao wawili.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akamwambia Musa, Mimi Yethro mkweo nimekuja kwako, na mkeo, na wanawe wawili pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alipoambiwa kuwa baba mkwe wake pamoja na mkewe na wanawe wawili wanakuja,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akatuma kumwambia Mose: Mimi mkweo Yetoro nimekuja kwako pamoja na mkeo na wanawe wawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akamwambia Musa, Mimi Yethro mkweo nimekuja kwako, na mkeo, na wanawe wawili pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alipoambiwa kwamba baba mukwe wake pamoja na muke wake na wana wake wawili wanakuja,