Exodus 18:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alitoka kwenda kumlaki baba mkwe wake, akamwinamia na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia hemani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akatoka kumlaki baba mkwe wake, akainama na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia kwenye hema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akatoka nje ili amlaki mkwewe, akasujudia na kumbusu; nao wakaulizana habari; kisha wakaingia hemani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alitoka kwenda kumlaki baba mkwe wake, akamwinamia na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia hemani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akatoka kumlaki baba mkwe wake, akainama na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia hemani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akatoka kumlaki baba mkwe wake, akainama na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia hemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akatoka nje ili amlaki mkwewe, akamwinamia na kumbusu; nao wakaulizana habari; kisha wakaingia hemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alitoka kwenda kumlaki baba mkwe wake, akamwinamia na kumbusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia hemani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipotoka kumwendea njiani, akamwinamia, akanoneana naye, nao wakatakiana kuwa hawajambo, kisha wakaingia hemani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akatoka nje ili amlaki mkwewe, akasujudia na kumbusu; nao wakaulizana habari; kisha wakaingia hemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akatoka kwenda kumupokea baba mukwe wake, akiinama mbele yake na kumubusu. Wakasalimiana, kisha wakaingia ndani ya hema.