Exodus 18:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yethro akafurahishwa na yote aliyotenda Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya Waisraeli, kwa kuwaokoa mikononi mwa Wamisri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yethro akafurahishwa sana kusikia kuhusu mambo yote mazuri Mwenyezi Mungu aliyowatendea Waisraeli kuwaokoa kutoka mkono wa Wamisri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yethro alifurahi kwa ajili ya wema wote Bwana aliowatendea Israeli, kwa alivyo waokoa mikononi mwa Wamisri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yethro akafurahishwa na yote aliyotenda Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya Waisraeli, kwa kuwaokoa mikononi mwa Wamisri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yethro akafurahishwa sana kusikia juu ya mambo yote mazuri BWANA aliyowatendea Waisraeli katika kuwaokoa na mkono wa Wamisri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yethro akafurahishwa sana kusikia juu ya mambo yote mazuri bwana aliyowatendea Waisraeli kuwaokoa kutoka mkono wa Wamisri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yethro alifurahi kwa ajili ya wema wote BWANA aliowatendea Israeli, kwa alivyowaokoa mikononi mwa Wamisri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yethro akafurahishwa na yote aliyotenda Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya Waisraeli, kwa kuwaokoa mikononi mwa Wamisri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yetoro akayafurahia hayo mema yote, Bwana aliyowafanyizia Waisiraeli na kuwaponya mikononi mwa Wamisri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yethro alifurahi kwa ajili ya wema wote BWANA aliowatendea Israeli, kwa alivyo waokoa mikononi mwa Wamisri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yetro akafurahishwa na yote Yawe aliyotenda kwa ajili ya Waisraeli, kwa kuwaokoa toka katika mikono ya Wamisri.