Exodus 19:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu walipotoka nchini Misri, watu wa Israeli walifika katika jangwa la Sinai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kuondoka Misri, walifika Jangwa la Sinai siku hiyo hiyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwezi wa tatu baada ya kutoka Waisraeli katika nchi ya Misri, siku iyo hiyo wakafika jangwa la Sinai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu walipotoka nchini Misri, watu wa Israeli walifika katika jangwa la Sinai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnamo mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kuondoka Misri, siku kama iyo hiyo, wakafika katika Jangwa la Sinai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnamo mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kuondoka Misri, siku kama iyo hiyo, wakafika katika Jangwa la Sinai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kutoka katika nchi ya Misri, siku hiyo hiyo wakafika katika jangwa la Sinai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu walipotoka nchini Misri, watu wa Israeli walifika katika jangwa la Sinai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwezi wa tatu tangu hapo, wana wa Isiraeli walipotoka katika nchi ya Misri, siku hiyohiyo wakafika nyikani kwa Sinai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwezi wa tatu baada ya kutoka Waisraeli katika nchi ya Misri, siku iyo hiyo wakafika jangwa la Sinai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu walipotoka katika inchi ya Misri, watu wa Israeli wakafika katika jangwa la Sinai.