Exodus 19:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na wawe tayari siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, Mwenyezi Mungu atashuka juu ya Mlima Sinai machoni pa watu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wawe tayari kwa siku ya tatu; maana siku ya tatu Bwana atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na wawe tayari katika siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, BWANA atashuka juu ya mlima Sinai machoni pa watu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wawe tayari siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, bwana atashuka juu ya mlima Sinai machoni pa watu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wawe tayari kwa siku ya tatu; maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wawe tayari siku ya tatu! Kwani hiyo siku ya tatu Bwana atashuka machoni pao watu wote kufika juu ya mlima wa Sinai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wawe tayari kwa siku ya tatu; maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakuwe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Yawe nitashuka juu ya mulima Sinai mbele ya watu wote.