Exodus 19:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akashuka mlimani na kuwaendea watu, akawatakasa, nao wakayafua mavazi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Musa kushuka kutoka mlimani akawaendea watu na kuwaweka wakfu, wakafua nguo zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akatelemka mlimani akawaendea watu akawatakasa, nao wakafua nguo zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akashuka mlimani na kuwaendea watu, akawatakasa, nao wakayafua mavazi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Mose kushuka kutoka mlimani akawaendea watu na kuwaweka wakfu, wakafua nguo zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Musa kushuka kutoka mlimani akawaendea watu na kuwaweka wakfu, wakafua nguo zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akateremka mlimani akawaendea watu akawatakasa, nao wakafua nguo zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akashuka mlimani na kuwaendea watu, akawatakasa, nao wakayafua mavazi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akatelemka huko mlimani kwenda kwao hao watu, akawaeua watu, wakazifua nguo zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akatelemka mlimani akawaendea watu akawatakasa, nao wakafua nguo zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akashuka toka juu ya mulima na kuwaendea watu, akawatakasa, nao wakafua nguo zao.