Exodus 19:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akawaambia watu wote, “Kesho kutwa muwe tayari, na mwanamume yeyote asimkaribie mwanamke.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akawaambia watu, “Jitayarisheni kwa ajili ya siku ya tatu. Mwanaume yeyote asimkaribie mwanamke.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia watu; Mwe tayari siku ya tatu; msimkaribie mwanamke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akawaambia watu wote, “Kesho kutwa muwe tayari, na mwanamume yeyote asimkaribie mwanamke.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akawaambia watu, “Jitayarisheni kwa ajili ya siku ya tatu. Mwanaume ye yote asimkaribie mwanamke.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akawaambia watu, “Jitayarisheni kwa ajili ya siku ya tatu. Mwanaume yeyote asimkaribie mwanamke.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia watu; Muwe tayari siku ya tatu; msimkaribie mwanamke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akawaambia watu wote, “Kesho kutwa muwe tayari, na mwanamume yeyote asimkaribie mwanamke.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akawaambia: Msiwakaribie wake zenu, mpate kuwa tayari siku ya tatu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia watu; Mwe tayari siku ya tatu; msimkaribie mwanamke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akawaambia watu wote: “Kesho kutwa mukuwe tayari na mwanaume yeyote asimukaribie mwanamuke.”