Exodus 19:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Shuka chini ukawaonye watu wote wasije kunitazama; la sivyo wengi wao wataangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Mwenyezi Mungu akamwambia Musa, “Shuka ukawaonye watu ili wasijipenyeze kutafuta kumwona Mwenyezi Mungu, na wengi wao wakaangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Bwana akamwambia Musa, Shuka chini, uwaonye watu wasije wakapasua njia waje kwa Bwana kutazama, kisha wengi miongoni mwao wakaangamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Shuka chini ukawaonye watu wote wasije kunitazama; la sivyo wengi wao wataangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na BWANA akamwambia, “Shuka ukawaonye watu ili wasijipenyeze kutafuta kumwona BWANA na wengi wao wakafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye bwana akamwambia Musa, “Shuka ukawaonye watu ili wasijipenyeze kutafuta kumwona bwana na wengi wao wakafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo BWANA akamwambia Musa, Shuka chini, uwaonye watu wasije wakafanya njia kuja kwa BWANA kutazama, kisha wengi miongoni mwao wakaangamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Shuka chini ukawaonye watu wote wasije kunitazama; la sivyo wengi wao wataangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipomwambia Mose: Shuka, uwaonye hawa watu, wasijivunjie njia ya kufika kwa Bwana, wapate kumwona, wasife wengi miongoni mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo BWANA akamwambia Musa, Shuka chini, uwaonye watu wasije wakapasua njia waje kwa BWANA kutazama, kisha wengi miongoni mwao wakaangamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yawe akamwambia Musa: “Shuka chini uwaonye watu wote wasikuje kuniona. Kama sivyo wengi wao wataangamia.