Exodus 19:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata makuhani ambao hunikaribia wanapaswa kujitakasa; la sivyo nitawaadhibu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata makuhani, watakaomkaribia Mwenyezi Mungu ni lazima wajiweke wakfu, la sivyo Mwenyezi Mungu atawaadhibu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makuhani nao, wamkaribiao Bwana, na wajitakase, Bwana asije akawafurikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata makuhani ambao hunikaribia wanapaswa kujitakasa; la sivyo nitawaadhibu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata makuhani, watakaomkaribia BWANA ni lazima wajiweke wakfu, la sivyo BWANA atawaadhibu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata makuhani, watakaomkaribia bwana ni lazima wajiweke wakfu, la sivyo bwana atawaadhibu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makuhani nao, wamkaribiao BWANA, na wajitakase, BWANA asije akawakasirikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata makuhani ambao hunikaribia wanapaswa kujitakasa; la sivyo nitawaadhibu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watambikaji watakaomkaribia Bwana, sharti wajieue, Bwana asije, akawaponda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makuhani nao, wamkaribiao BWANA, na wajitakase, BWANA asije akawafurikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata makuhani ambao wananikaribia wanapaswa kujitakasa, kama sivyo nitawaazibu.”