Exodus 19:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Watu hawa hawawezi kuupanda mlima wa Sinai kwani wewe mwenyewe ulituamuru tuweke mpaka kuuzunguka mlima.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akamwambia Mwenyezi Mungu, “Watu hawawezi kupanda Mlima Sinai kwa sababu wewe mwenyewe ulituonya ukisema, ‘Wekeni mipaka kuuzunguka mlima na kuutenga kama patakatifu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamwambia Bwana, Watu hawa hawawezi kuukaribia mlima wa Sinai; kwa kuwa wewe ulituusia, ukisema, Wekeni mipaka kando-kando ya mlima, na kuutenga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Watu hawa hawawezi kuupanda mlima wa Sinai kwani wewe mwenyewe ulituamuru tuweke mpaka kuuzunguka mlima.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akamwambia BWANA, “Watu hawawezi kupanda mlima Sinai kwa sababu wewe mwenyewe ulituonya ukisema, ‘Wekeni mipaka kuuzunguka mlima na kuutenga kama patakatifu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akamwambia bwana, “Watu hawawezi kupanda mlima Sinai kwa sababu wewe mwenyewe ulituonya ukisema, ‘Wekeni mipaka kuuzunguka mlima na kuutenga kama patakatifu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamwambia BWANA, Watu hawa hawawezi kuukaribia mlima wa Sinai; kwa kuwa wewe ulituusia, ukisema, Wekeni mipaka kandokando ya mlima, na kuutenga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Watu hawa hawawezi kuupanda mlima wa Sinai kwani wewe mwenyewe ulituamuru tuweke mpaka kuuzunguka mlima.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mose akamwambia Bwana: Hawa watu hawawezi kupanda mlimani kwa Sinai, kwani wewe mwenyewe umetuonya na kuniagiza kwamba: Kata mpaka wa mlima huu na kuueua, wasiuguse.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamwambia BWANA, Watu hawa hawawezi kuukaribia mlima wa Sinai; kwa kuwa wewe ulituusia, ukisema, Wekeni mipaka kando-kando ya mlima, na kuutenga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akamwambia Yawe: “Watu hawa hawawezi kupanda juu ya mulima wa Sinai maana wewe mwenyewe ulituamuru tuweke mupaka kuzunguka mulima na kuutakasa.”