Exodus 19:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Musa akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akawatelemkia hao watu na kuwaambia hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mose akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Musa akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akawateremkia hao watu na kuwaambia hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akatelemka kwenda kwao hao watu, akawaambia maneno hayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akawatelemkia hao watu na kuwaambia hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa.