Exodus 19:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akapanda juu mlimani kwa Mungu. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwita Mose kutoka huko juu mlimani, akamwambia, “Hivi ndivyo utakavyowaambia wazawa wa Yakobo, hao Waisraeli,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akakwea kwenda kwa Mungu, naye Mwenyezi Mungu akamwita kutoka ule mlima, akasema, “Hivi ndivyo utakavyosema na nyumba ya Yakobo na utakachowaambia Waisraeli:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akapanda kwa Mungu, na Bwana akamwita toka mlima ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akapanda juu mlimani kwa Mungu. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwita Mose kutoka huko juu mlimani, akamwambia, “Hivi ndivyo utakavyowaambia wazawa wa Yakobo, hao Waisraeli,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akakwea kwenda kwa Mungu, naye BWANA akamwita kutoka kwenye ule mlima akasema, “Hivi ndivyo utakavyosema na nyumba ya Yakobo na utakachowaambia watu wa Israeli:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akakwea kwenda kwa Mungu, naye bwana akamwita kutoka kwenye ule mlima akasema, “Hivi ndivyo utakavyosema na nyumba ya Yakobo na utakachowaambia watu wa Israeli:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akapanda kwa Mungu, na BWANA akamwita kutoka kule mlimani, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akapanda juu mlimani kwa Mungu. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwita Mose kutoka huko juu mlimani, akamwambia, “Hivi ndivyo utakavyowaambia wazawa wa Yakobo, hao Waisraeli,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mose akaupanda huo mlima kwenda kwake Mungu, Bwana alipomwita huko mlimani, akamwambia: Hivi ndivyo, utakavyowaambia wao wa mlango wa Yakobo na kuwatangazia wana wa Isiraeli:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akapanda kwa Mungu, na BWANA akamwita toka mlima ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akapanda juu kwenye mulima kwa Mungu. Halafu Yawe akamwita Musa kutoka kule juu ya mulima, akamwambia: “Hivi ndivyo utakavyowaambia wazao wa Yakobo, wale Waisraeli: