Exodus 2:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha kwenye mchanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akatazama huko na huko, na alipoona ya kuwa hapana mtu, akampiga Mmisri yule, akamficha ndani ya mchanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akatazama huku na huko asione mtu ye yote, akamwua yule Mmisri, akamficha mchangani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha mchangani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipogeuka huko na huko, tena alipoona, ya kama hakuna mtu, akampiga yule Mmisri na kumwua, kisha akamfukia mchangani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akatazama huko na huko, na alipoona ya kuwa hapana mtu, akampiga Mmisri yule, akamficha ndani ya mchanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akaangalia huku na huko na alipoona kwamba hakuna mutu karibu, akamwua yule Mumisri na kumuficha ndani ya muchanga.