Exodus 2:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, Mose alitoka tena, akaona Waebrania wawili wanapigana. Basi, akamwuliza yule aliyekosea, “Kwa nini unampiga mwenzako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake akatoka, akaona Waebrania wawili wakipigana. Akamuuliza yule aliyekosa, “Mbona unampiga Mwebrania mwenzako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, Mose alitoka tena, akaona Waebrania wawili wanapigana. Basi, akamwuliza yule aliyekosea, “Kwa nini unampiga mwenzako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake akatoka, akaona Waebrania wawili wakipigana. Akamwuliza yule aliyekosa, “Mbona unampiga Mwebrania mwenzako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake akatoka, akaona Waebrania wawili wakipigana. Akamuuliza yule aliyekosa, “Mbona unampiga Mwebrania mwenzako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, Mose alitoka tena, akaona Waebrania wawili wanapigana. Basi, akamwuliza yule aliyekosea, “Kwa nini unampiga mwenzako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake alipotoka akaona, wawili wa Kiebureo wakipigana, akamwambia aliye mkorofi: Mbona unampiga mwenzako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka siku ya pili, na tazama, watu wawili wa Waebrania walikuwa wakipigana. Akamwambia yule aliyemdhulumu mwenzake, Mbona unampiga mwenzako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake, Musa akatoka tena, akaona Waebrania wawili wakipigana. Basi, akamwuliza yule aliyekosa: “Kwa nini unamupiga mwenzako?”