Exodus 2:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wachungaji wengine wakaja na kuwafukuza hao binti. Lakini Mose akawasaidia binti hao na kuwanywesha wanyama wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya wachungaji wakaja wakawafukuza hao wasichana. Ndipo Musa akainuka, akawasaidia kunywesha mifugo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachungaji wakaja wakawafukuza; lakini Musa akasimama, akawasaidia, akalinywesha kundi lao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wachungaji wengine wakaja na kuwafukuza hao binti. Lakini Mose akawasaidia binti hao na kuwanywesha wanyama wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya wachungaji wakaja wakawafukuza hao wasichana. Ndipo Mose akainuka, akawasaidia na kunywesha mifugo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya wachungaji wakaja wakawafukuza hao wasichana. Ndipo Musa akainuka, akawasaidia na kunywesha mifugo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachungaji wakaja wakawafukuza; lakini Musa akasimama, akawasaidia, akalinywesha kundi lao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wachungaji wengine wakaja na kuwafukuza hao binti. Lakini Mose akawasaidia binti hao na kuwanywesha wanyama wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakaja wachungaji wengine na kuwafukuza. Ndipo, Mose alipoinuka, akawasaidia akiwanywesha mbuzi na kondoo wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachungaji wakaja wakawafukuza; lakini Musa akasimama, akawasaidia, akalinywesha kundi lao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachungaji wengine wakakuja na kuwafukuza wale wabinti. Lakini Musa akawasaidia wabinti wale na kuwakunywesha nyama wao.