Exodus 20:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nawafadhili maelfu ya wale wanipendao na kuzishika amri zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini ninaonesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaonipenda na kuzishika amri zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nawafadhili maelfu ya wale wanipendao na kuzishika amri zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini ninaonyesha upendo kwa vizazi elfu vya wale wanipendao na kuzishika amri zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini ninaonyesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanipendao na kuzishika amri zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nawarehemu maelfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nawafadhili maelfu ya wale wanipendao na kuzishika amri zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nitawafanyizia mema, nikifikishe hata kizazi cha maelfu, kwao wanipendao na kuyashika maagizo yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninawatendea mema maelfu ya wale wanaonipenda na kushika amri zangu.