Exodus 20:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usilitaje bure jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa kuwa Mwenyezi Mungu hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usilitaje bure jina la BWANA Mungu wako, kwa kuwa BWANA hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usilitaje bure jina la bwana Mwenyezi Mungu wako, kwa kuwa bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usilitaje Jina la Bwana Mungu wako bure! Kwani Bwana hatamwachilia alitajaye Jina lake bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usitaje bure jina langu mimi Yawe, Mungu wako, maana mimi Yawe sitaacha kumwazibu yeyote anayetaja bure jina langu.