Exodus 21:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Haya ndiyo maagizo utakayowapa Waisraeli:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hukumu utakazoziweka mbele ya watu ni hizi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Haya ndiyo maagizo utakayowapa Waisraeli:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hukumu utakazoziweka mbele ya watu ni hizi
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Haya ndiyo maagizo utakayowapa Waisraeli:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maamuzi, utakayoyaweka mbele yao:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hukumu utakazoziweka mbele ya watu ni hizi
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo maagizo utakayowapa Waisraeli: