Exodus 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iwapo huyo bwana hatamtimizia haki hizo tatu, basi, mke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba hamfanyii mambo haya matatu, ndipo atatoka aende bure, pasipo kutolewa mali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iwapo huyo bwana hatamtimizia haki hizo tatu, basi, mke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yo yote ya fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iwapo hatamtosheleza kwa mambo hayo matatu, huyo mke wa kwanza ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote ya fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa hamfanyii mambo haya matatu, ndipo atatoka aende bure, pasipo kutolewa mali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iwapo huyo bwana hatamtimizia haki hizo tatu, basi, mke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asipompatia hayo mambo matatu, atatoka utumwani bure tu pasipo kulipa fedha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba hamfanyii mambo haya matatu, ndipo atatoka aende bure, pasipo kutolewa mali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa yule bwana hatamutimizia haki hizo tatu, basi, muke ataondoka na kuwa huru bila malipo yoyote.