Exodus 21:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ampigaye mtu na kumwua, lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yeyote anayempiga mtu na kumuua ni lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu awaye yote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ampigaye mtu na kumwua, lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ye yote ampigaye mtu na kumwua ni lazima auawe hakika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yeyote ampigaye mtu na kumuua ni lazima auawe hakika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu yeyote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ampigaye mtu na kumwua, lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimpiga mwenzake, hata afe, hana budi kuuawa kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu awaye yote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayepiga mutu na kumwua, hakika anapaswa kuuawa.