Exodus 21:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama hakuwa amemvizia, bali ni kwa ajali, basi, huyo mwuaji ataweza kukimbilia usalama mahali nitakapowachagulieni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonyesha mahali atakapopakimbilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama hakuwa amemvizia, bali ni kwa ajali, basi, huyo mwuaji ataweza kukimbilia usalama mahali nitakapowachagulieni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, kama hakumwua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itokee hivyo, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, kama hakumuua kwa makusudi, lakini Mungu akaruhusu itendeke, basi atakimbilia mahali nitakapomchagulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonesha mahali atakapopakimbilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama hakuwa amemvizia, bali ni kwa ajali, basi, huyo mwuaji ataweza kukimbilia usalama mahali nitakapowachagulieni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama hakumvizia, ikiwa Mungu amemtia mkononi mwake, nitakuonyesha mahali, atakapopakimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonyesha mahali atakapopakimbilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama hakukuwa amemuvizia, lakini ni kwa musiba, basi, yule mwuaji ataweza kukimbilia usalama pahali nitakapowachagulia.