Exodus 21:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ampigaye baba yake au mama yake lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yeyote anayemshambulia baba yake au mama yake ni lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ampigaye baba yake au mama yake, sharti atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ampigaye baba yake au mama yake lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ye yote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ampigaye baba yake au mama yake, sharti atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ampigaye baba yake au mama yake lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakayempiga baba yake au mama yake sharti auawe kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ampigaye baba yake au mama yake, sharti atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemupiga baba yake au mama yake hakika atauawa.