Exodus 21:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Amtekaye mtu nyara ili kumwuza au kumfanya mtumwa wake lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yeyote anayemteka nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye amwibaye mtu, na kumwuza, au akipatikana mkononi mwake, sharti atauawa huyo
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Amtekaye mtu nyara ili kumwuza au kumfanya mtumwa wake lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ye yote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye amwibaye mtu, na kumwuza, au akipatikana mkononi mwake, sharti atauawa huyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Amtekaye mtu nyara ili kumwuza au kumfanya mtumwa wake lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayemwiba mwenziwe, kama amekwisha kumwuza, au kama anaonekana angalimo mikononi mwake, sharti auawe kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye amwibaye mtu, na kumwuza, au akipatikana mkononi mwake, sharti atauawa huyo
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemukamata mutu kwa kinguvu kusudi amwuzishe au kumufanya mutumwa wake, hakika atauawa.