Exodus 21:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watu wawili wakigombana, kisha mmoja akampiga mwenzake jiwe au ngumi bila kumwua, lakini akamjeruhi kiasi cha kumfanya augue na kulala kitandani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watu wakigombana, naye mmoja akampiga mwingine kwa jiwe au kwa ngumi yake na hakufa, bali akaugua na kulala kitandani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakigombana, na mmoja akimpiga mwenziwe kwa jiwe, au kwa konde, asife, lakini yualazwa kitandani mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watu wawili wakigombana, kisha mmoja akampiga mwenzake jiwe au ngumi bila kumwua, lakini akamjeruhi kiasi cha kumfanya augue na kulala kitandani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama watu wakigombana na mmoja akimpiga mwingine kwa jiwe au kwa ngumi yake na hakufa bali akaugua na kulala kitandani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama watu wakigombana na mmoja akimpiga mwingine kwa jiwe au kwa ngumi yake na hakufa bali akaugua na kulala kitandani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakigombana, na mmoja akimpiga mwenziwe kwa jiwe, au kwa konde, asife, lakini akalazwa kitandani mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watu wawili wakigombana, kisha mmoja akampiga mwenzake jiwe au ngumi bila kumwua, lakini akamjeruhi kiasi cha kumfanya augue na kulala kitandani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wakigombana, mmoja akimpiga mwenzake jiwe au konde, asife, ila augue tu na kulala kitandani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakigombana, na mmoja akimpiga mwenziwe kwa jiwe, au kwa konde, asife, lakini yualazwa kitandani mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wawili wakigombana, kisha mumoja akamupiga mwenzake jiwe au ngumi bila kumwua, lakini akigonjwa na kubaki katika kitanda,