Exodus 21:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
iwapo huyo aliyepigwa atapata nafuu na kuweza kutembea kwa kutegemea fimbo, huyo aliyemjeruhi atasamehewa. Lakini, atamlipa fidia ya muda alioupoteza kitandani, na kuhakikisha amemwuguza mpaka apone kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yule aliyempiga ngumi hatahesabiwa kuwa na hatia ikiwa mwenzake ataamka na kujikongoja kwa fimbo yake, lakini hata hivyo, ni lazima amlipe fidia ya muda aliopoteza na awajibike hadi apone kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atakapoinuka tena na kuenenda nje kwa kutegemea fimbo, ndipo hapo yule aliyempiga ataachwa; ila atamlipa kwa ajili ya hayo majira yake yaliyompotea, naye atamwuguza hata apone kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
iwapo huyo aliyepigwa atapata nafuu na kuweza kutembea kwa kutegemea fimbo, huyo aliyemjeruhi atasamehewa. Lakini, atamlipa fidia ya muda alioupoteza kitandani, na kuhakikisha amemwuguza mpaka apone kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yule aliyempiga ngumi hatahesabiwa kuwa na hatia kama mwenzake ataamka na kujikongoja kwa fimbo yake, lakini hata hivyo, ni lazima amlipe fidia ya muda wake aliopoteza na awajibike mpaka apone kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yule aliyempiga ngumi hatahesabiwa kuwa na hatia kama mwenzake ataamka na kujikongoja kwa fimbo yake, lakini hata hivyo, ni lazima amlipe fidia ya muda wake aliopoteza na awajibike mpaka apone kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atakapoinuka tena na kuenenda nje kwa kutegemea fimbo, ndipo hapo yule aliyempiga ataachwa; ila atamlipa kwa ajili ya hayo majira yake yaliyompotea, naye atamwuguza hata apone kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
iwapo huyo aliyepigwa atapata nafuu na kuweza kutembea kwa kutegemea fimbo, huyo aliyemjeruhi atasamehewa. Lakini, atamlipa fidia ya muda alioupoteza kitandani, na kuhakikisha amemwuguza mpaka apone kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye akipata kuinuka tena na kujiendea nje kwa kujiegemeza na mkongojo, basi, yule aliyempiga asipatwe na jambo lo lote, atamlipa tu siku za kukaa bure pasipo kufanya kazi, nayo mauguzi hana budi kuyalipa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
atakapoinuka tena na kuenenda nje kwa kutegemea fimbo, ndipo hapo yule aliyempiga ataachwa; ila atamlipa kwa ajili ya hayo majira yake yaliyompotea, naye atamwuguza hata apone kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ikiwa yule aliyepigwa akisimama tena na kuweza kutembea kwa kutegemea fimbo, yule aliyemupiga atasamehewa. Lakini, atamulipa kwa ajili ya muda alioupoteza katika kitanda na kumutunza mpaka apone kabisa.