Exodus 21:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye ataenda zake pasipo kulipa chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako huru bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye atakwenda zake pasipo kulipa cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia kwa miaka sita. Lakini katika mwaka wa saba, atakuwa huru naye atakwenda zake pasipo kulipa chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako huru bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukimnunua mtumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukinunua mtumwa wa Kiebureo, sharti atumike miaka sita, lakini katika mwaka wa saba atatoka utumwani pasipo kukombolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukimnunua mtumwa wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako huru bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukimununua mutumwa Mwebrania, atakutumikia kwa miaka sita, lakini mwaka wa saba atakuwa huru na kuondoka, bila malipo.