Exodus 21:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwamba pana madhara zaidi, ndipo utatoza uhai kwa uhai,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwamba pana madhara zaidi, ndipo utatoza uhai kwa uhai,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akipata kuumizwa zaidi, sharti umtoze roho kwa roho,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwamba pana madhara zaidi, ndipo utatoza uhai kwa uhai,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama kutakuwa hasara nyingine, basi, unapaswa kulipa uzima kwa uzima,