Exodus 21:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika, akimpiga hata kumngoa jino mtumwa wake wa kiume au wa kike, ni lazima amwachilie huru kwa ajili ya jino lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akimvunja jino mtumwa wa kiume au wa kike, ni lazima amwache huru huyo mtumwa kwa kufidia hilo jino.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au akimpiga mtumwa wake jino likang'oka, au jino la kijakazi chake, atamwacha huru kwa ajili ya jino lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika, akimpiga hata kumng'oa jino mtumwa wake wa kiume au wa kike, ni lazima amwachilie huru kwa ajili ya jino lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama akimvunja jino mtumwa wa kiume au wa kike, ni lazima amwache huru huyo mtumwa kwa kufidia hilo jino.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama akimvunja jino mtumwa wa kiume au wa kike, ni lazima amwache huru huyo mtumwa kwa kufidia hilo jino.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au akimpiga mtumwa wake jino likang'oka, au jino la kijakazi chake, atamwacha huru kwa ajili ya jino lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika, akimpiga hata kumngoa jino mtumwa wake wa kiume au wa kike, ni lazima amwachilie huru kwa ajili ya jino lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata akimvunja mtumwa au kijakazi wake jino, sharti ampe ruhusa kutoka utumwani kwa kumlipa jino.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au akimpiga mtumwa wake jino likang’oka, au jino la kijakazi chake, atamwacha huru kwa ajili ya jino lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, akimupiga hata kumwongoa mutumwa wake au mujakazi wake jino, anapaswa kumwachilia huru kwa ajili ya jino lake.