Exodus 21:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ngombe akimpiga mtu pembe na kumwua, ng'ombe huyo atauawa kwa kupigwa mawe na nyama yake haitaliwa. Mwenye ng'ombe huyo hatakuwa na lawama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Fahali akimuua mwanaume au mwanamke kwa kumpiga kwa pembe, fahali huyo ni lazima auawe kwa kupigwa mawe, na nyama yake haitaliwa. Lakini mwenye fahali huyo hatawajibika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ng'ombe akipiga pembe mtu mume au mtu mke, nao wakafa, huyo ng'ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe, nyama yake isiliwe; lakini mwenye huyo ng'ombe ataachiliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ng'ombe akimpiga mtu pembe na kumwua, ng'ombe huyo atauawa kwa kupigwa mawe na nyama yake haitaliwa. Mwenye ng'ombe huyo hatakuwa na lawama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama fahali akimwua mwanaume au mwanamke kwa kumpiga kwa pembe, fahali huyo ni lazima auawe kwa kupigwa mawe, na nyama yake haitaliwa. Lakini mwenye fahali huyo hatawajibika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama fahali akimuua mwanaume au mwanamke kwa kumpiga kwa pembe, fahali huyo ni lazima auawe kwa kupigwa mawe, na nyama yake haitaliwa. Lakini mwenye fahali huyo hatawajibika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ng'ombe akimpiga pembe mwanamume au mwanamke, nao wakafa, huyo ng'ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe, nyama yake isiliwe; lakini mwenye huyo ng'ombe ataachiliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ngombe akimpiga mtu pembe na kumwua, ng'ombe huyo atauawa kwa kupigwa mawe na nyama yake haitaliwa. Mwenye ng'ombe huyo hatakuwa na lawama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe akimkumba mwanamume au mwanamke kwa pembe zake, akifa, sharti huyo ng'ombe auawe kwa kupigwa mawe, nyama zake zisiliwe, lakini mwenye ng'ombe hana neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ng’ombe akipiga pembe mtu mume au mtu mke, nao wakafa, huyo ng’ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe, nyama yake isiliwe; lakini mwenye huyo ng’ombe ataachiliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe akimupiga mutu pembe na kumwua, ngombe yule atauawa kwa kupigwa mawe na nyama yake haitakuliwa. Mwenye ngombe yule hatahukumiwa.