Exodus 21:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama alinunuliwa kabla hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na mkewe, basi, ataondoka na mkewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akija peke yake, ataenda huru peke yake, lakini akija na mke, ataondoka pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kwamba ameoa, mkewe atatoka aende pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama alinunuliwa kabla hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na mkewe, basi, ataondoka na mkewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama akija peke yake, atakwenda huru peke yake, lakini kama akija na mke, ataondoka pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama akija peke yake, atakwenda huru peke yake, lakini kama akija na mke, ataondoka pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kama ameoa, mkewe atatoka aende pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama alinunuliwa kabla hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na mkewe, basi, ataondoka na mkewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama aliingia kwako peke yake tu, na atoke hivyo peke yake tu; kama aliingia mwenye mkewe, mkewe na atoke utumwani pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kwamba ameoa, mkewe atatoka aende pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama alinunuliwa mbele hajaoa, ataondoka peke yake. Lakini kama alikuja na muke wake, basi, ataondoka na muke wake.