Exodus 21:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ngombe akimpiga pembe mtoto wa mtu mwingine, shauri hili litaamuliwa kwa njia hiyohiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sheria hii pia itatumika ikiwa fahali atampiga kwa pembe mwana au binti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akiwa ng'ombe amempiga pembe mtoto wa kiume na kumtumbua, au akiwa amempiga mtoto wa kike, atatendwa kama hukumu hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ng'ombe akimpiga pembe mtoto wa mtu mwingine, shauri hili litaamuliwa kwa njia hiyohiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sheria hii pia itatumika ikiwa fahali atampiga kwa pembe mwana au binti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sheria hii pia itatumika ikiwa fahali atampiga kwa pembe mwana au binti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akiwa ng'ombe amempiga pembe mtoto wa kiume na kumtumbua, au akiwa amempiga mtoto wa kike, atatendwa kama hukumu hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ngombe akimpiga pembe mtoto wa mtu mwingine, shauri hili litaamuliwa kwa njia hiyohiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe akikumba mtoto wa kiume au mtoto wa kike kwa pembe zake, sharti ahukumiwe vivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akiwa ng’ombe amempiga pembe mtoto wa kiume na kumtumbua, au akiwa amempiga mtoto wa kike, atatendwa kama hukumu hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe akimupiga mutoto wa mutu mwingine kwa pembe, shauri hili litaamuliwa kwa njia hiyohiyo.