Exodus 21:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ng'ombe huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng'ombe atamlipa bwana wa huyo mtumwa fedha zenye thamani ya shekeli thelathini, na huyo ng'ombe lazima auawe kwa kupigwa mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fahali akimpiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ng'ombe akimtumbua mtumwa mume au kijakazi; mwenye ng'ombe atampa bwana wao shekeli thelathini za fedha, naye ng'ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ng'ombe huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng'ombe atamlipa bwana wa huyo mtumwa fedha zenye thamani ya shekeli thelathini, na huyo ng'ombe lazima auawe kwa kupigwa mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ng'ombe akimtumbua mtumwa mume au kijakazi; mwenye ng'ombe atampa bwana wao shekeli thelathini za fedha, naye ng'ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ng'ombe huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng'ombe atamlipa bwana wa huyo mtumwa fedha zenye thamani ya shekeli thelathini, na huyo ng'ombe lazima auawe kwa kupigwa mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ng'ombe akikumba mtumwa au kijakazi kwa pembe zake, mwenye ng'ombe sharti amlipe bwana wao fedha 30, naye ng'ombe sharti auawe kwa kupigwa mawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ng’ombe akimtumbua mtumwa mume au kijakazi; mwenye ng’ombe atampa bwana wao shekeli thelathini za fedha, naye ng’ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ngombe yule akimupiga pembe mutumwa au mujakazi, mwenye ngombe atamulipa bwana wa yule mutumwa feza zenye bei ya shekeli makumi tatu na yule ngombe anapaswa kuuawa kwa kupigwa mawe.