Exodus 21:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akiacha shimo wazi, ama akichimba shimo kisha asilifunike, halafu ng'ombe au punda akatumbukia humo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ng’ombe au punda akatumbukia ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba mtu atafunua shimo, au kuchimba shimo, naye asilifunike, kisha ikawa ng'ombe au punda kutumbukia humo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akiacha shimo wazi, ama akichimba shimo kisha asilifunike, halafu ng'ombe au punda akatumbukia humo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ng'ombe au punda akatumbukia ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ng’ombe au punda akatumbukia ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa mtu atafunua shimo, au kuchimba shimo, naye asilifunike, kisha ikawa ng'ombe au punda akatumbukia humo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akiacha shimo wazi, ama akichimba shimo kisha asilifunike, halafu ng'ombe au punda akatumbukia humo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akiacha shimo wazi au akichimba shimo pasipo kulifunikiza, kisha ng'ombe au punda akitumbukia humo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba mtu atafunua shimo, au kuchimba shimo, naye asilifunike, kisha ikawa ng’ombe au punda kutumbukia humo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akiacha shimo wazi, au akichimba shimo kisha asilifunike, halafu ngombe au punda akatumbukia ndani,