Exodus 21:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huyo mwenye shimo hilo lazima atoe fidia; atamlipa mwenye mnyama huyo fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mwenye shimo ni lazima alipe hasara iliyotokea; ni lazima amlipe mwenye mnyama. Mnyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwenye shimo atalipa; atampa huyo mwenye mnyama fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa ni wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huyo mwenye shimo hilo lazima atoe fidia; atamlipa mwenye mnyama huyo fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mwenye shimo ni lazima alipe hasara iliyotokea; ni lazima amlipe mwenye mnyama. Mnyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mwenye shimo ni lazima alipe hasara iliyotokea; ni lazima amlipe mwenye mnyama. Mnyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mwenye shimo atalipa; atampa huyo mwenye mnyama fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa ni wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huyo mwenye shimo hilo lazima atoe fidia; atamlipa mwenye mnyama huyo fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mwenye shimo sharti alipe fedha za kumrudishia yule bwana mali zake, kisha nyama aliyekufa atakuwa wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwenye shimo atalipa; atampa huyo mwenye mnyama fedha, na mnyama aliyekufa atakuwa ni wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
yule mwenye shimo lile anapaswa kulipa. Atatoa feza kwa mwenye nyama yule na nyama aliyekufa atakuwa wake.