Exodus 21:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ngombe wa mtu akimwumiza ng'ombe wa mtu mwingine na kumwua, basi, watu watamwuza huyo ng'ombe aliyebaki hai na kugawana bei yake; vilevile watagawana yule ng'ombe aliyekufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Fahali wa mtu fulani akimuumiza fahali wa mtu mwingine na akafa, watamuuza yule aliye hai na wagawane sawa fedha pamoja na mnyama aliyekufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ng'ombe wa mtu akimwumiza ng'ombe wa mtu mwingine hata akafa; ndipo watamwuza huyo ng'ombe aliye hai na kugawanya thamani yake; na ng'ombe aliyekufa pia watamgawanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ng'ombe wa mtu akimwumiza ng'ombe wa mtu mwingine na kumwua, basi, watu watamwuza huyo ng'ombe aliyebaki hai na kugawana bei yake; vilevile watagawana yule ng'ombe aliyekufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama fahali wa mtu fulani atamwumiza fahali wa mtu mwingine na akafa, watamwuza yule aliye hai na wagawane sawa fedha pamoja na mnyama aliyekufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama fahali wa mtu fulani atamuumiza fahali wa mtu mwingine na akafa, watamuuza yule aliye hai na wagawane sawa fedha pamoja na mnyama aliyekufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ng'ombe wa mtu akimwumiza ng'ombe wa mtu mwingine hata akafa; ndipo watamwuza huyo ng'ombe aliye hai na kugawanya thamani yake; na ng'ombe aliyekufa pia watamgawanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ngombe wa mtu akimwumiza ng'ombe wa mtu mwingine na kumwua, basi, watu watamwuza huyo ng'ombe aliyebaki hai na kugawana bei yake; vilevile watagawana yule ng'ombe aliyekufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe wa mtu akimkumba ng'ombe wa mwenzake kwa pembe zake, akafa, basi, watamwuza yule ng'ombe aliye mzima, lakini fedha, watakazozipata, sharti wazigawanye, naye ng'ombe aliyekufa sharti wamgawanye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ng’ombe wa mtu akimwumiza ng’ombe wa mtu mwingine hata akafa; ndipo watamwuza huyo ng’ombe aliye hai na kugawanya thamani yake; na ng’ombe aliyekufa pia watamgawanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe wa mutu akimwumiza ngombe wa mutu mwingine na kumwua, basi, watu watamwuzisha yule ngombe aliyebaki muzima na kugawayana bei yake. Vilevile watagawayana yule ngombe aliyekufa.