Exodus 21:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, bwana wake atamleta mbele ya Mungu. Kisha atampeleka kwenye mlango au kizingitini na kumtoboa sikio lake kwa shazia; naye atamtumikia bwana wake maisha yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi bwana wake atalazimika kumpeleka mbele ya waamuzi. Kisha atampeleka kwenye mlango, au kizingiti na kutoboa sikio lake kwa shazia. Naye atamtumikia bwana wake maisha yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo hapo huyo bwana wake atamleta mbele ya Mungu na kumleta mlangoni, au penye mwimo wa mlango; na bwana wake atalitoboa sikio lake kwa uma; ndipo atamtumikia sikuzote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, bwana wake atamleta mbele ya Mungu. Kisha atampeleka kwenye mlango au kizingitini na kumtoboa sikio lake kwa shazia; naye atamtumikia bwana wake maisha yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo bwana wake atakapolazimika kumpeleka mbele ya waamuzi. Kisha atampeleka kwenye mlango au kizingiti na kutoboa sikio lake kwa shazia. Naye atamtumikia bwana wake maisha yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo bwana wake atakapolazimika kumpeleka mbele ya waamuzi. Kisha atampeleka kwenye mlango au kizingiti na kutoboa sikio lake kwa shazia. Naye atamtumikia bwana wake maisha yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo hapo huyo bwana wake atamleta mbele ya Mungu na kumleta mlangoni, au penye mwimo wa mlango; na bwana wake atalitoboa sikio lake kwa uma; ndipo atamtumikia siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, bwana wake atamleta mbele ya Mungu. Kisha atampeleka kwenye mlango au kizingitini na kumtoboa sikio lake kwa shazia; naye atamtumikia bwana wake maisha yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
bwana wake na amtokeze kwa Mungu na kumfikisha penye mlango au penye mwimo, kisha bwana wake na alitoboe hapo sikio lake kwa shazia; ndipo, atakapokuwa mtumwa wake kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo hapo huyo bwana wake atamleta mbele ya Mungu na kumleta mlangoni, au penye mwimo wa mlango; na bwana wake atalitoboa sikio lake kwa uma; ndipo atamtumikia sikuzote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, bwana wake atamuleta mbele ya Mungu. Kisha atamupeleka kwenye mulango au kwenye kizingiti na kumutoboa sikio lake kwa chuma chenye kuchongwa. Naye atamutumikia bwana wake maisha yake yote.