Exodus 21:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akimwuza binti yake kuwa mtumwa, huyo hatapata uhuru wake kama watumwa wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akimuuza binti yake kuwa mtumwa, hataachwa huru kama watumwa wa kiume wanavyoachiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akimwuza binti yake kuwa mtumwa, huyo hatapata uhuru wake kama watumwa wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akimwuza binti yake kuwa mtumwa, hataachwa huru kama watumwa wa kiume waachiwavyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akimuuza binti yake kuwa mtumwa, hataachwa huru kama watumwa wa kiume waachiwavyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akimwuza binti yake kuwa mtumwa, huyo hatapata uhuru wake kama watumwa wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimwuza mwanawe wa kike kuwa kijakazi, hatatoka utumwani, kama waume wanavyotoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akimwuzisha binti yake kuwa mujakazi, yule hatapata uhuru wake kama watumwa wanaume.