Exodus 21:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba amposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama akimchagua aolewe na mwanawe, ni lazima ampe haki za kuwa binti yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akimposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ataamua kumwoza kwa mwanawe, atamtendea mtumwa huyo kama binti yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akimpa mwanawe wa kiume kuwa wa kulala naye, sharti amfanyizie zile haki zipasazo mwanawe wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba amposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ataamua kumwoesha kwa mwana wake, atamutendea mujakazi yule kama vile binti yake.