Exodus 22:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akiiba ng'ombe au kondoo na kumchinja au kumwuza, atatozwa ng'ombe watano kwa kila ng'ombe, na kondoo wanne kwa kila kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu yeyote akiiba maksai au kondoo na kumchinja au kumuuza, ni lazima alipe ng’ombe watano badala ya maksai mmoja na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akiiba ng'ombe au kondoo, na kumchinja, au kumwuza; atalipa ng'ombe watano badala ya ng'ombe mmoja, na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akiiba ng'ombe au kondoo na kumchinja au kumwuza, atatozwa ng'ombe watano kwa kila ng'ombe, na kondoo wanne kwa kila kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akiiba maksai au kondoo na kumchinja au kumwuza, ni lazima alipe ng'ombe watano badala ya maksai mmoja na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akiiba maksai au kondoo na kumchinja au kumuuza, ni lazima alipe ng’ombe watano badala ya maksai mmoja na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akiiba ng'ombe au kondoo, na kumchinja, au kumwuza; atalipa ng'ombe watano badala ya ng'ombe mmoja, na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akiiba ng'ombe au kondoo na kumchinja au kumwuza, atatozwa ng'ombe watano kwa kila ng'ombe, na kondoo wanne kwa kila kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akiiba ng'ombe au kondoo, akimchinja au akimwuza, kwa ng'ombe mmoja sharti alipe ng'ombe watano, na kwa kondoo mmoja sharti alipe kondoo wanne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akiiba ng’ombe au kondoo, na kumchinja, au kumwuza; atalipa ng’ombe watano badala ya ng’ombe mmoja, na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwizi akikamatwa yuko anavunja nyumba, naye akipigwa na kufa, aliyemwua hana kosa la mauaji.