Exodus 22:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akimkabidhi mwenzake punda, ng'ombe, kondoo au mnyama mwingine yeyote amtunzie, na mnyama huyo akafa au akaumia au akachukuliwa bila mtu yeyote kushuhudia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akimpa jirani yake punda, ng’ombe, kondoo au mnyama mwingine yeyote amtunzie, yule mnyama akifa, au akijeruhiwa, au akiibiwa bila mtu kuona,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akimpa mwenziwe punda, au ng'ombe, au kondoo, au mnyama ye yote, ili amtunzie; yule mnyama akafa, au akaumia, au akachukuliwa mtu asione;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akimkabidhi mwenzake punda, ng'ombe, kondoo au mnyama mwingine yeyote amtunzie, na mnyama huyo akafa au akaumia au akachukuliwa bila mtu yeyote kushuhudia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akimpa jirani yake punda, ng'ombe, kondoo au mnyama mwingine ye yote amtunzie, akifa au akijeruhiwa au akichukuliwa wakati haonekani na mtu ye yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akimpa jirani yake punda, ng’ombe, kondoo au mnyama mwingine yeyote amtunzie, akifa au akijeruhiwa au akichukuliwa wakati haonekani na mtu yeyote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akimpa mwenziwe punda, au ng'ombe, au kondoo, au mnyama yeyote, ili amtunzie; yule mnyama akafa, au akaumia, au akachukuliwa mtu asione;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akimkabidhi mwenzake punda, ng'ombe, kondoo au mnyama mwingine yeyote amtunzie, na mnyama huyo akafa au akaumia au akachukuliwa bila mtu yeyote kushuhudia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimpa mwenzake ng'ombe au punda au kondoo au nyama wo wote wa kufuga, amtunzie, naye akafa au akaumia au akachukuliwa, mtu asione,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akimpa mwenziwe punda, au ng’ombe, au kondoo, au mnyama ye yote, ili amtunzie; yule mnyama akafa, au akaumia, au akachukuliwa mtu asione;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kiapo mbele ya Yawe kitaamua kati yao, kwa kuonyesha kwamba yule aliyepewa hakuiba mali ya mwenzake. Mwenye nyama yule atakubali kile kiapo na yule mwenzake hatalipa malipo yoyote.