Exodus 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwamba aliibiwa mnyama huyo, sharti amlipe yule mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwamba aliibiwa mnyama huyo, sharti amlipe yule mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mwizi akimwiba kwake, sharti amlipe yule mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwamba aliibiwa mnyama huyo, sharti amlipe yule mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama yule nyama aliraruliwa na nyama wa pori, yule mutu aliyekuwa amepewa anapaswa kumuleta kama ushuhuda. Hatalipa malipo yoyote kwa ajili ya nyama aliyeraruliwa na nyama wa pori.