Exodus 22:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akiazima mnyama kwa mwenzake, kisha mnyama huyo akaumia au akafa wakati mwenyewe hayuko, aliyeazima mnyama huyo ni lazima alipe kikamilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akiazima mnyama kutoka kwa jirani yake, huyo mnyama akiumia au akafa na mwenye mnyama hayupo, lazima amlipe huyo mnyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akiazima mnyama kwa mwenziwe, naye akaumia huyo mnyama, au akafa, mwenyewe asipokuwapo, lazima atalipa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akiazima mnyama kwa mwenzake, kisha mnyama huyo akaumia au akafa wakati mwenyewe hayuko, aliyeazima mnyama huyo ni lazima alipe kikamilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akimwazima mnyama kutoka kwa jirani yake, na kama akiumia au akafa na mwenye mnyama hayupo, lazima amlipe huyo mnyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akimwazima mnyama kutoka kwa jirani yake, na kama akiumia au akafa na mwenye mnyama hayupo, lazima amlipe huyo mnyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akiazima mnyama kwa mwenziwe, naye akaumia huyo mnyama, au akafa, mwenyewe asipokuwapo, lazima atalipa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akiazima mnyama kwa mwenzake, kisha mnyama huyo akaumia au akafa wakati mwenyewe hayuko, aliyeazima mnyama huyo ni lazima alipe kikamilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akikopa nyama kwa mwenzake, naye huyo nyama akiumia au akifa, bwana wake akiwa hayuko, yule hana budi kumlipa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akiazima mnyama kwa mwenziwe, naye akaumia huyo mnyama, au akafa, mwenyewe asipokuwapo, lazima atalipa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama mwenye naye alikuwa pale, basi aliyemwazima hatalipa kitu chochote. Kama alikuwa ni nyama aliyeazimwa, mwenye naye atakubali tu bei ya kuazima.