Exodus 22:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa, akalala naye, lazima atoe mahari na kumwoa msichana huyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akalala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa, akalala naye, lazima atoe mahari na kumwoa msichana huyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa, akalala naye, lazima atoe mahari na kumwoa msichana huyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimdanganya mwanamwali asiyeposwa, alale naye, sharti amlipie mali za ukwe, awe mkewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu akimshawishi mwanamwali, aliyeposwa na mume, na kulala naye, lazima atatoa mahari kwa ajili yake ili awe mkewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba wa yule binti akikataa kabisa kumwoesha binti yake, mutu yule atalipa feza ya mali inayostahili binti anayekuwa bikira.