Exodus 22:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwizi akipatikana anavunja nyumba, akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya mauaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwizi akishikwa akivunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya kumwaga damu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwivi akipatikana akiwa yu hali ya kuvunja mahali, naye akapigwa hata akafa, hapatakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwizi akipatikana anavunja nyumba, akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya mauaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kama mwizi akishikwa anavunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemwua hana hatia ya kumwaga damu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kama mwizi akishikwa anavunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya kumwaga damu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwizi akipatikana akiwa yu hali ya kuvunja mahali, naye akapigwa hata akafa, hapatakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwizi akipatikana anavunja nyumba, akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya mauaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwizi akikamatwa papo hapo, anapovunjia nyumba, akipigwa, afe, basi, siko kukora manza za damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwivi akipatikana akiwa yu hali ya kuvunja mahali, naye akapigwa hata akafa, hapatakuwa na malipizo ya damu kwa ajili yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mwizi akishikwa wakati jua limechomoza na kuuawa, aliyemwua atakuwa na kosa. Mwizi anapaswa kulipa. Ikiwa hana kitu cha kulipa, basi, yeye mwenyewe atauzishwa kwa kulipa kile alichoiba.