Exodus 22:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mkiwadhulumu hao nao wakanililia, hakika nitakisikiliza kilio chao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukiwatesa watu hao katika neno lo lote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mkiwadhulumu hao nao wakanililia, hakika nitakisikiliza kilio chao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mkiwadhulumu hao nao wakanililia, hakika nitakisikiliza kilio chao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapomtesa atanililia mimi, mimi nami nitakisikia vema kilio chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukiwatesa watu hao katika neno lo lote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na hasira yangu itawaka, nami nitawaua ninyi kwa upanga, na wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu wayatima.