Exodus 22:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukilichukua vazi la mwenzako kuliweka rehani, lazima umrudishie kabla ya jua kutua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa wewe kwa njia yo yote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia mbele ya jua kuchwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukilichukua vazi la mwenzako kuliweka rehani, lazima umrudishie kabla ya jua kutua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa wewe kwa njia yoyote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia kabla ya jua kuchwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukilichukua vazi la mwenzako kuliweka rehani, lazima umrudishie kabla ya jua kutua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukimtoza mwenzako blanketi lake kuwa rehani, sharti umrudishie, mpaka jua likichwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa wewe kwa njia yo yote wapokea nguo ya jirani yako rehani, lazima utamrudishia mbele ya jua kuchwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu hiyo ndiyo nguo yake ya pekee; ndiyo atakayojifunika nayo. Au unazani atalalia nini? Akinililia nitamusikiliza, maana mimi ni mwenye huruma.