Exodus 22:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usimtukane Mungu, wala kumlaani mkuu wa watu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimtukane Mungu, wala usimlaani mkuu wa watu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usimtukane Mungu, wala kumlaani mkuu wa watu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usimkufuru Mungu au kulaani mtawala wa watu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimtukane Mungu, wala usimlaani mkuu wa watu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usimtukane Mungu, wala kumlaani mkuu wa watu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu usimtukane! Wala mtawala ukoo wako usimwambie maovu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimtukane Mungu, wala usimlaani mkuu wa watu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikawie kunitolea sehemu yangu kutokana na wingi wa mazao yako na divai yako. Mutanipa wazaliwa wenu wa kwanza wanaume.